Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, January 19, 2017

Ajali mbaya imetokea maeneo ya mswiswi mbeya ikihusiha basi la Taqwa.soma zaid

Ajali mbaya imetokea maeneo ya mswiswi Mbeya
ajali imehusisha magari 3 moja Basi kampuni ya
Taqwa ikitokea Dar kuelekea na Fuso lilikuwa
limebeba ndizi ikitokea Mbeya.
Chanzo cha Ajari ni Fuso ilikuwa ina Overtake lori
Mara Basi nayo ilikuwa imeshafika ndipo Ajari
ilipotokea Dereva wa basi alifariki dunia pamoja
na dereva wa fuso na tingo wake majeruhi
walipelekwa Hospital lakini mpaka Sasa Hospital
wamefariki watu wawili mwanamke mmoja na
mwanaume mmoja wote raia wa kongo. M/
mungu azilaze roho za marehemu mahala pema
peponi AMIN Tutaendelea kukujuza zaid...chanzo muungwana.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top