Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, March 22, 2016

Hussei bashe ajiuzulu kamati ya bunge afuata nyayo za zitto soma zaid

abunge Hussein Bashe na Zitto Kabwe
wanahudumu katika kamati moja hiyo lakini
wawili hawa leo wamemwandikia Spika wa Bunge
barua za kujiuzulu nafasi zao kama wajumbe wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma za
Jamii ili kupisha uchunguzi katika kamati hiyo
kuhusu tuhuma za rushwa zilizoikumba pia
kamati yao hiyo.
Katika ukurasa wake wa facebook Mh. Hussein
Bashe ameandika hivi
"Kutokana na tuhuma zilizokuwepo za rushwa
dhidi ya Kamati ninayohudumu, leo
nimemwandikia Mh Spika wa Bunge barua ya
kujiuzulu kupisha uchunguzi". Ameandika hivyo
Mh. Bashe.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top