Breaking News
Loading...

Advert

Monday, March 21, 2016

Msafara wa wanakamati wa TAMISEMI wapata ajili watu 4 wafariki dunia.

Msafara wa Wabunge wa Mkoa wa Pwani
na RAS na Kamati ya TAMISEMI umepata
ajali Bagamoyo - Kerege
Magari mawili yamegongwa na Lori, Gari
na Mkurugenzi wa Bagamoyo na Gari la
TASAF Bagamoyo.
Madereva wote wawili wa hizo gari
wamefariki hapo hapo na Afisa Mipango
naye amefariki.
Majeruhi wamekimbizwa Muhimbili hali
mbaya.janzo jamii forums.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top