Shamsi vuai nahodha ashinda ubunge jimbo la kijitoupele.
Ubunge Jimbo la
Kijitoupele kwa kura 12,473,Mohamed Juma CUF
kura 202,Zaituni ally Khamis ACT kura 155,Salim
Ally Omar CCK kura 73,Demokrasia Makini
wamepata kura 67,UPDP kura 79.
-Idadi ya kura halali ni 13,049.
-Kura zilizokataliwa ni 633.chanzo itv.
0 comments :
Post a Comment