Kampuni ya Acuuster Technologies Pvt ltd ya india imetengeneza maabara inayohamishika.soma zaid
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama
sanduku ambalo ni maabara
inayohamishika inayoweza kutumika
katika zahanati na vituo vya afya ambayo
imetengenezwa na kampuni ya Acuuster
Technologies Pvt Limited ya India, Ofisini
kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Julai 12, 2016. Kulia kwa Waziri Mkuu ni
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya , Dkt.
Mpoki Ulisubisya na kushoto kwake ni
Mkurugezi Mtendaji wa kampuni hiyo,
Amit Bhatnagar. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 comments :
Post a Comment