Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, June 29, 2016

Dr.Kizza Besigye ataendelea kukaa gerezani hadi tar 13 july.soma zaid.

Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Dr. Kizza
Besigye ataendelea kubaki gerezani hadi tarehe
13 mwezi ujao. Hii ni baada ya upande wa
mashtaka kuomba muda zaidi kukamilisha
uchunguzi wao kuhusiana na kesi ya uhaini dhidi
yake pale aliponaswa akichukua kiapo cha kuwa
rais wa Uganda siku mbili tu kabla ya rais
Museveni kufanya hivyo mwezi Mei. Hata hivyo
Besigye amepinga ombi hilo akitoa mtazamo
kuwa anazidi kuhofia maisha yake pamoja na
kwamba amenyimwa haki zake za msingi
kuwasiliana na wafuasi wake.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top