Hatimaye vifaa vya uchaguzi zanzibar vyawasili uwanja wa ndege zanzibar kwa ajili ya uchaguzi hapo kesho.
Vifaa vyote muhimu kwa ajili ya
uchaguzi mkuu wa marudio visiwani Zanzibar
tayari vimewasili kisiwani Pemba vikiwa chini ya
ulinzi mkali wa vyombo vya ulinzi.chanzo itv.
0 comments :
Post a Comment