Mitt Romney ampiga vijembe Donard Trump.
Bwana Romney amesema katika mtandao wake
wa facebook kwamba njia ya kipekee ya
kumchagua mgombea wa Republican ni kupitia
mkutano ambapo wanachama wanamchagua
atakayegombea kupitia chama hicho.
Alifanya kampeni na Gavana John Kasich huko
Ohio lakini akasema kuwa kumpigia kura Bwana
Cruz ndio nijia ya kipekee kumzuia Trump.
Anajiunga na viongozi wengine wa Republican
wanaomuunga mkono Bwana Cruz.
Bwana Trump ameshinda majimbo mengi na kwa
sasa ana takriban wajumbe 678 huku akitakiwa
kujipatia wajumbe 1237 kushinda uteuzi huo.
0 comments :
Post a Comment