habari ya hivi punde.
Wananchi wa kijiji cha bunduki kata ya bunduki tarafa ya mgeta wilaya ya mvomero mkoani morogoro wamelazika kutumia tochi na vibatari wakati wa kupata huduma nyakati za usiku katika zahanati ya kijiji hicho baada ya betri inayowawezesha kupatikana kwa umeme wa jua kuharibika na kukosa nishati hiyo.chanzo ITV.
0 comments :
Post a Comment