Hivi kitendo cha kuchora tatoo ya mpenzi wako ninamaanisha unampenda kwa dhati?
Hapa nazungumzia tatoo ya shilole kuhusu mpenzi wake nuhoo mziwanda nikweli kwamba shilole alikuwa na mapenzi ya dhati kwa nuhoo?nahii imekuja baada ya shilole kujilaum na kulamika kuchora tatoo na kuandika jina la nuhoo ambae wameachana.anachokilaum shilole yuko sahii?
0 comments :
Post a Comment