Msumari wageukia sekta ya madini mgodi wa kyela wasimamishwa.
Serikali imesimasha shughuli za uchimbaji wa makaa ya mawe uliokuwa ukifanywa na kampuni ya off.route Technology iliyopo katika kijiji cha ngara wilayani kyela na kuviweka chini ya uangalizi vifaa vyake hadi uchunguzi kuhusu madai mbalimbali yanayoukabli utakapokamilika .Jana wazir wa nishati na madini sospeter muhongo alitembelea katika mgodi unaoneshwa na kampuni hiyo bila kuwa na lesseni halali ya uchimbaji madini.chanzo gazet la mwananch.
0 comments :
Post a Comment