Mwili wa mtu mmoja umepatikana baada ya kivuko cha kilombero kuzama.soma zaid.
January 26,2016 kulikuwa na taarifa ya kutokea ajari ya kivuko cha kilombero kilichokuwa kimepakia watu na magari.wapo waliofanikiwa kutoka salama lakini bado wengine hawakuwa wametoka.jitihada zikaanza kuhakikisha uokoaji unafanyika. Ripot kutoka kituo cha ITV imenifikia tayari kwanza mwili wa mtu mmoja umepatikana na bado jitihada za uokoaji zinaendelea.
0 comments :
Post a Comment