Habari zilizo tufikia hivi punde Vurugu yazuka jijin mwanza kati ya waendesha pikipiki na polisi.soma zaid.
Jeshi la polisi jijini mwanza limelazimika kutumia mabomu kuwatawanya waendesha pikipiki baada ya kufunga barabara ya Tx igoma kuelekea uwanja wa ndege.
0 comments :
Post a Comment