Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, April 27, 2016

MSD watakiwa kutoa maelezo juu ya vifaa vya bilio sh.2 ambavyo viko jiani miaka 4 mpaka sasa havijafika.

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameitaka MSD
kutoa maelezo kuhusu vifaa vya Sh. Bilioni 2
ambavyo 'viko njiani kwenda Muhimbili' kwa
miaka 4.
-Mkurugenzi wa MSD, Laurean Bwanakunu jana
alisema bohari haina mzigo wowote ulio njiani
kuelekea Muhimbili bali imekuwa ikisambaza
dawa zake nchi nzima.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top