Breaking News
Loading...

Advert

Friday, June 10, 2016

Nay wa mitego haishiwi na vituko angufunguka hivi.soma zaid

Star wa Bongo Fleva Nay wa Mitego bado
anaendelea kuwapa makavu live wasanii wa
Bongo Muvi hasa wakwaruaji wanaosubiri vijana
wa bongo fleva wawe juu ndipo watokenao
kimapenzi.
Akizungumza na Enewz Nay alisema kuwa
wadada wenye tabia hizo Bongo Muvi
wanajulikana na kuwataja baadhi yao kuwa ni
pamoja na Jackilin Wolper, Salma Jabu ”Nisha”
na Zuwena Mohamed ”Shilole” na kuongeza kuwa
wapo wengi wenye tabia hiyo na kwamba vitu
hivyo kwao ni vya kawaida wameshazoea na siku
hizi wanaona kama ‘fashion’.
“Mimi nimezungumzia wadada wakwaruaji unajua
wakisikia visanii vichipukizi vile wao ndo yaani
ndo wanapagawa,wanaviwahi yaani wanawahiana
kama sasa hivi kuna kelele zinazoendelea kuna
msanii chipukizi anagombewa”
Nay ameendelea kutema cheche “Mimi siwezi
kuwalaumu hao vijana kuwa na uhusiano nao
unaju inaweza kuwa mtaani siku moja ulikuwa
unawishi siku moja kuwa na mtu fulani, halafu
ikitokea nafasi kama ile pale aah! Mtu hata
upewe ushauri wa dizaini gani mtu ambaye
ulikuwa ukimuona kwenye runinga anaingia katika
kumi na nane zako mimi siwalaumu japokuwa
wanatakiwa kuwa makini”, alisema

0 comments :

Post a Comment

Back To Top