Leo Rais ameteua makatibu tawala wapya26.10 ni sura mpya 2 wamebadirishwa vituo.
Leo tarehe 25 April 2016 Rais wa
Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa
Ma RAS kati yao 10 ni wapya na 2
wamebadilishiwa vituo wakati 13
wamebaki kwenye vituo vyao vya awali ,
orodha kamili iko kwenye picha hapa
chini . . .
CAR FOR SALE: 2000 Toyota Lan.
0 comments :
Post a Comment