Rais magufuli na Jakaya kikwete watofautiana kuhusu wanafunzi waliofukuzwa UDOM.soma zaid.
KIKWETE ASEMA KUWA WANAFUNZI
WALIOFUKUZWA UDOM WALIKUWA NA SIFA ZA
KUSOMA.
Akiongea na gazeti la MWANANCHI (la leo
Jumapili) jana aliyekuwa rais wa Jamhuri ya
muungano wa Tanzania wa awamu ya nne ndugu
Jakaya Kikwete amesema kuwa haoni tatizo
lolote lililowafanya wanafunzi zaidi ya 7000
kutimuliwa UDOM.
"Kama ni sifa walikuwa nazo, kama ni vigezo
vinavyotakiwa walikuwa navyo. Mimi kwa maoni
yangu sioni tatizo lolote kwao" amesema
Kikwete.
Aidha katika kuonyesha kuwa jambo hilo
limegubikwa na utata mkubwa, rais Magufuli na
waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi bi Joyce
Ndalichako walitofautiana kwenye sababu
zilizofanya wanafunzi hao kutimuliwa kikatili.
Wakati bi Ndalichako akisema kuwa walitimuliwa
kwa kukosekana wahadhiri wa kuwafundisha, rais
Magufuli alisema kuwa walitimuliwa kwa kuwa ni
"vilaza "chabzo gazet LA mwananch.
0 comments :
Post a Comment