Rais msitaafu jakaya kikwete apewa heshima nyingine.soma zaid.
Bodi ya Kituo cha Ufundi cha Kilimo na
Maendeleo Vijijini cha CTA kimemteua Rais
Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete kuwa Balozi wa
Heshima (Goodwill Ambassador) wa Maendeleo
ya Kilimo katika Mabara ya Afrika, Karibiani na
Pasafiki.
0 comments :
Post a Comment