Breaking News
Loading...

Advert

Monday, June 6, 2016

Tanzania yaendelea kupeta katika sekta ya uwekezaji miongoni mwa nchi za afrika mashariki.soma zaid.


Tanzania imeipiku Kenya katika uwekezaji
6 Juni 2016 Imebadilishwa mwisho saa 13:41
GMT
Siku za hivi karibuni Tanzania imekuwa kinara wa
kunyakua miradi ya miundombinu katika ukanda
wa Afrika Mashariki.
Kwanza ilikuwa ni mradi wa bomba la mafuta la
Uganda, halafu baadae kidogo reli ya Rwanda.
Mirada hii mikubwa miwili hapo awali ilikuwa
iende kwa Kenya, lakini yote sasa imehamia kwa
Tanzania na wengi wanajiuliza nini
kilichobadilisha upepo huu wa ushawishi...

0 comments :

Post a Comment

Back To Top