Msafara wa Dkt. harrison mwakiembe umepata ajali abira wanusurika.soma zaid
Habari zimetufikia muda huu zinasema
m safara wa Waziri wa Katiba na Sheria
Dkt. Harrison Mwakyembe umepata ajali
ambapo gari la DPP limepata ajali na
kupinduka baada ya tairi la mbele kulia
kupasuka. Eneo Ni Bwanga na msafara
unaelekea Chato kutokea Geita.
Habari zainasema gari hilo
limeishainuliwa na safari
inaendelea.Chanzo cha ajali hiyo
kinaelezewa kuwa ilikuwa kuwakwepa
watoto wawili waliovuka barabara ghafla
na bila tahadhari.
Dereva na Abiria wote akiwemo
Mkurugenzi wa makosa ya jinai Mhe.
Biswalo Mganga na msaidizi wake
inasemekana wametoka salama.
0 comments :
Post a Comment