Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, July 27, 2016

Neno UKUTA nineno amabalo lomezinduliwa rasima na CHADEMA hii leo.soma zaid.

Chadema yazindua rasmi kampeni ya
UKUTA, yenye lengo la kupambana na udikteta
nchini ,wameitaja tarehe moja septemba kuwa ni
siku ya UKUTA (Umoja wa Kupambana na
Udikteta Tanzania).
Endelea kufuatilia taarifa zetu kufahamu zaidi.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top