Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, August 16, 2016

Klabu ya Yanga itakuwa na mkutano wa dharura kesho.soma zaid

Duru za taarifa kutoka ndani ya klabu ya Yanga
zinasema uongozi wa klabu hiyo kesho utakuwa
na mkutano dharua kuelezea kuhusu taarifa za
kujiuzulu kwa Mwenyekiti Yusuph Manji.
Kaimu Katibu mkuu wa Yanga Baraka Deusderit,
kupitia taarifa fupi aliyoituma kwa waandishi wa
habari jioni hii amesema ni kweli mwenyekiti
anakusudia kujiuzulu huku akitaja sababu kuwa
ni kutukanwa,kudhalilishwa na kusakamwa na
Mzee Ibrahim Akilimali na Paul Makonda huku
kukiwa hakuna juhudi zozote za wanayanga
kuchukua hatua.
Tamko hilo fupi lilimalizia kwa kusema
"tumewasiliana na viongozi wa kanda na kesho
tutakuwa na mkutano wa dharura utakaofanyika
saa 4 kamili makao makuu ya klabu,"
Tangu, Manji atangaze kununua nembo na timu
ya Yanga kumekuwa na mshororo wa

0 comments :

Post a Comment

Back To Top