Moto mkubwa umelipuka eneo la Msamvu Itigi mkoani Morogoro.soma zaid
Moto Mkubwa umelipuka katika eneo la
Msamvu Itigi usiku huu, na kuteketeza
malori mawili yaliyokuwa yameegeshwa
ambapo moto huo unadaiwa
kusababishwa na kipisi cha Sigara
kilichotupwa na mtu asiyefahamika na
kupeperushwa na upepo mkali hivyo
kukiteketeza kibanda cha mafundi Pikipiki
kilicho jirani kabisa na kituo cha mafuta
cha Puma Na Magari yaliyokuwa
yameegeshwa jirani.
Chanzo: ITV
0 comments :
Post a Comment