Rais Joseph Kabira aliwasili jana hapa nchini leo atapigiwa mizinga 21.soma zaid
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC
Joseph Kabila leo atapigiwa mizingia 21 na
kukagua gwaride rasmi jijini hapa.
Baadaye atazungumza na Rais John Magufuli na
mchana ataweka jiwe la msingi la jengo la
Mamlaka ya Bandari Tanzania(TPA). Baadaye
Rais Kabila atashiriki dhifa ya kitaifa ikulu
Rais Kabila amewasili jana Dar es Salaam nchini
Tanzania kwa ziara ya siku tatu. Rais Kabila
anatarajia pia kuzungumzia masuala ya kisiasa
nchini mwake ambapo uchaguzi uliopangwa
kufanyika Novemba mwaka huu umesogezwa
mbele mpaka mwakani jambo ambalo limeleta
sintofahamu kwa wananchi wa Kongo.
Kabila ataondoka siku ya Jumatano kurudi
Kinshasa.
0 comments :
Post a Comment