Vyama vya upinzani congo vimeuomba umoja wa mataifa kuingilia kati mazungumzo mapya ya kitaifa.soma zaid
Vyama vikuu vya upinzani katika Jamhuri ya
Kidemokrasi ya Kongo vimeuomba Umoja wa
Mataifa kuingilia kati ili kushawishi kufanyika
mazungumzo mapya ya kitaifa.Kufuatia
kongamano la siku mmoja mjini Kinshasa,
upinzani umeomba mageuzi ya tume huru ya
uchaguzi na mahakama kuu ya katiba, katika kile
wanachoelezea kuwa vinamuunga mkono Rais
Joseph Kabila.
0 comments :
Post a Comment