Kuna jambo linanishinda hapa mwenzenu huyu mwanamke anapenda mapenzi sana mpaka nataka nihame nyumba.
Kitu kinachonishinda nikiwa faragha na huyu mwandani wangu.... nikishamaliza huwa nakuwa nimechoka na kizunguzungu. sasa kama siku tatu zilizoissha niliitwa na bosi wangu kuhusu tabia nayoionyesha. nilijitetea sana.
Nikaanzisha mtindo, namuomba work mate wangu anisainie kissha nakuja baadaye. kwa kweli hili swala la mapenzi kila siku nimelishindwa.
Nikitoka kazini napita sehemu flani napoteza muda saa ziende. nikifika nyumbani nakuta nasumbiriwa kama kitoweo. ukimkaushia mara akutekenye, akukalie, fujo tupu unajikuta ushafanya. kwa kweli hapa pamenishinda, nakosa nguvu nakuwa kama mgonjwa.
Nitumie mbinu gani angalau ipungue ata kwa mwezi mara mbili maana nashindwa sasa.
0 comments :
Post a Comment