Ajari ya basi imetokea leo morogoro
*Habari za hivi punde toka morogoro dumila*
Kutoka mvomelo ukipita bamsi kabla hujafika
makunganya kuna eicher imegongwa na lori hali
mbaya sana
Tumwombe Mungu atupiganie
Taarifa kamili baadae
Tusubili jeshi la polisi
0 comments :
Post a Comment