Ratiba ya Sportpes Super Cup.soma zaid
Sport Pesa Cup 5/6 Singida united Vs FC leopard Yanga Vs Tusker fc 6/5 Simba Vs Nakuru All Star Jang`ombe boys vs Gor mahia Nusu fainali tarehe 8 Bingwa wa mechi kati ya Singida united vs AFC leopard atacheza na bingwa kati ya Yanga na Tusker Nusu fainali ya pili Bingwa wa mechi kati ya Simba na Nakuru all star atacheza na bingwa wa mechi kati ya Jangombe boyz na Gor mahia Fainali ni tarehe 11 Bingwa kupata milioni 60. Ligi itadhirikisha timu za Kenya na Tanzania na ligi itashirikisha timu nane na mshindi atapata dola 30,000 na mshindi wa pili dola 10,000.
0 comments :
Post a Comment