Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, June 27, 2017

Breaking News:Lowassa aachiwa huru kwa dhamana baada ya kuhojiwa.soma zaid

Muda huu Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Edward Lowassa ameachiwa kwa Dhamana alipokuwa akihojiwa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo. Lowassa ameachiwa majira ya saa saba na Gari za msafara wake zilionekana zikitoka nje ya Makao Mkuu ya Jeshi hilo saa 7 na robo. Awali Lowassa aliwasili Makao hayo majira ya Saa 4 asubuhi. Peter Kibatala amesema kuwa Lowassa atareje tena Makao makuu siku ya alhamis saa 6 mchana.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top