Bunge limeazimia kumsaneha mbungu wa Arumeru Joshua Nassar.soma zaid
# KutokaDodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania kwa kauli moja limeazimia
kumsamehe Mbunge wa Arumeru Mashariki
Joshua Nassari kutokana na kosa la kudharau
mamlaka ya Spika alilolifanya katika kikao cha
thelathini na mbili cha mkutano wa tatu wa
Bunge kilichofanyika tarehe 30 Mei 2016
Bunge limeazimia kumsamehe Joshua Nassari
(Mb) kutokana na kitendo chake cha kuonesha
ushirikiano kwa kamati na pia kitendo chake cha
kiungwana cha kuomba radhi kwa Spika wa
Bunge, kwa wabunge na kwa watu wengine wote
aliowakwaza kutokana na matendo yake.
Joshua Nassari aliitikia wito wa kamati iliyokaa
tarehe 15 Juni 2017 mjini Dodoma bila usumbufu
wa aina yoyote na alipohojiwa na kamati alikiri
wazi kosa lake na kuomba radhi.
0 comments :
Post a Comment