Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, June 28, 2017

Hivi ndivyo ufukwe wa Coco beach ulivyofurika watu aina mbalimbali hapo jana katika sikuku ya idd pili.soma zaid

Mabasi/Daladala kutoka kona kadhaa za jiji la
Dar zilionekana zikishusha watu kwa wingi katika
ufukwe huo ambao ulisheheni pia vyakula vya
kila aina ikiwemo Mihogo,Chips mayai na
wengine walikutwa na Camera ya Blogu ya jamii
wakiwa wemebeba vyakula vyao na kujibweda
kando kando ya ufukwe,ama kwa hakika ilikuwa
burudani kwa wakazi wa jiji la Dar.
Foleni ya kuingia kando kando ya ufukwe nayo
ilikuwa kubwa kiasi ambacho magari mengine
yalipita kwa taabu kuendelea na safari zake.
Chopa ya Jeshi la polisi nayo ilikuwa na kazi ya
ziada kama hivi ya kukagua meneo mbalimbali
yaliyokuwa na mkusanyiko mkubwa wa
watu,Pichani chini Chopa ikionekana kwa mbali
ilipokuwa ikikatiza maeneo hayo.
.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top