Uhuru kenyatta atangaza neema kwa Wakenya.soma zaid
Chama tawala cha Jubilee nchini Kenya
kimezindua mpango wake wa miaka mitano ijayo,
iwapo kitashinda kwenye uchaguzi mkuu ujao.
Rais Uhuru Kenyatta amewataka wakenya kumpa
tena ridhaa kuweza kuongoza kwa muhula wa pili
ili kukamilisha miradi ambayo alianzisha katika
kipindi chake cha kwanza cha utawala. Rais
Kenyatta ameahidi kuunda nafasi milioni 1.3 za
kazi na kuongeza idadi ya kina mama
wanaojifungua bila malipo kwenye hospitali za
umma. Hivi punde, mwandishi wetu Shisia
Wasilwa atakuelezea zaidi katika matangazo ya
mchana.
0 comments :
Post a Comment