Bomoabomoa yaendelea Kuwaliza wananchi wa tanzania soma zaid.
Baadhi ya wakazi wa kimara jijini dar es salaam wamebaki njia panda na kulazima kuiomba serikali kuu kuwasaidia kisheria kutokana na vitisho na taarifa zinazodaiwa kutolewa na mamlaka ya majii safi na maji taka Dawasco kuwa watatakiwa kubomoa magengo yao mita saba na nusu kutoka yalipo mabomba ya kusafilisha maji ya mtambo mji wa ruvu juu hadi matangi ya kimara badala ya mita tano za awali walizokubaliana kitendo kitakacho sababisha kuwaingizia hasara kwa kubomoa mita mbili na nusu zaid.chanzo ITV.
0 comments :
Post a Comment