Elimu bure itafanikiwa bila kuangalia haya yafuatayo?
Elimu bure ,Elimu bure.haya numawazo yangu juu ya utoaji wa elimu bure nchi nzima lakni ikiwavserikali haitatafuta matatizo yanayowakuta walimu kama vile mishahara, uhamisho,posho,miundombinu mibovu ya ufundishaji na mazingira ya ufundishaji hatuoweza kuondoa ujinga umasikini na maradhi.
0 comments :
Post a Comment