TANZIA#Aliyekuwa mubunge wa viti maalum CHADEMA leticia nyerere amefariki dunia.
Aliyekuwa mubunge wa viti maalumu CHADEMA Leticia nyerere amefariki Dunia akiwa nchini marekani. Alifariki Jana saa mbili usiku saa za Afrika mashariki alikuwa hospitalini akipatiwa matibabu.chanzo jamiiforums.
0 comments :
Post a Comment