Wimbi la ujangili laendelea na kutishia tembo kutoweka.
POLISI mkoani katavi inamshikulia mkazi wa kijiji cha mbede wilayani mlele.Nzuri ndizu(44) akituhumiwa kumiliki meno manane ya tembo kinyume na sheria.meno hayo yanakadiliwa kuwa na dhamanibya shilling million120.
0 comments :
Post a Comment