Mabomu ya kurushwa kwa mkono yaokotwa mkoani kigoma.soma zaid.
Mabovu mawili ya kurushwa kwa mkono yameokotwa katika eneo forodha ujiji mjini kigoma kandokando ya ziwa Tanganyika na mabom hayo yalikutwa eneo hilo na polisi waliokuwa doria.Akizunguza na wandishi wa habari kamanda wa polisi mkoa wa kigoma Ferdinand mtui alisema mabom hayo yalichukuliwa na wataalam wa mabom wa jeshi la wananchi wa Tanzania kwa ajili ya uchunguzi.chanzo IVT.
0 comments :
Post a Comment