Ugonjwa wa kipindupindu waendelea kuwa tishio kwa watanzania wengi wao wagundulika kuumwa ugonjwabhuo.soma zid.
Watu 29 wamelazwa katika hospital ya mrara ya harimashauri ya mji wa babati mkoani manyara baada ya kugundulika kuugua ugonjwa wa kipindupindu huku wataalamu wakihofu huenda idadi kubwa ya ugonjwa ikaendelea Kuongezeka kutokana baada kupokea wagonjwa 18siku tatu zilizopita hadi kufikia sita mchana wa waleo (alhamisi) idadi hiyo imeongezeka toka wagonjwa 28 hadi29.chanzo ITV tz.
0 comments :
Post a Comment