Kiyama cha mafisadi tanzania chaja.soma zaid.
Jaji mkuu asema mahakama ya ufisadi ni kipaombele. Jaji Mkuu othumani chande amesema suala la uanziswaji wa mahakama maalumu yakushughulikia makosa makubwa ya ufisafi,rushwa na uhujumu uchumi ndicho kipaumbele kikuu inchini kwanza kwa mhimili huo wa dola Mwaka huu.jaji Mkuu alisema hayo Jana alipozungumza na mwananchi kuchakato wa uanziswaji wa mahakama hiyo ambao unatokana na ahadi za Rais maguful aliyoitoa wakati wa kampeni zake katika uchaguzi mkuu2015.
0 comments :
Post a Comment