Virusi vya ugonjwa wa "ZiKA" sasa kwisha.soma zaidi.
Shirika la Afya Duniani WHO limesema limeanzisha kitengo maalumu cha kimataifa cha kukabiliana na mripuko wa virusi vya zika huku likielezea wasiwasi wake kuhusu ugonjwa huo unasababisha watoto wa Amerika ya kusini kuzaliwa wakiwa wakiwa na vichwa vidogo pamoja na ubongo ulioathirika, kwamba unaweza ukaenea dadi barani Afrika na Asia.chanzo DW Swahili.
0 comments :
Post a Comment