Basi super sami toka mwanza kwenda Dar lapata ajali igogo igunga.soma zaid
Watu kadhaa wajeruhiwa baada ya basi la
Super Sami toka Mwanza kwenda Dar
kupinduka Igogo, Igunga wakati likikwepa
ng'ombe.
RPC Tabora Hamis Issa, asema taarifa za
awali zaonyesha dereva wa basi la Super
Sami lililogonga ng'ombe, kujeruhi abiria
alikuwa anaongea na simu.
0 comments :
Post a Comment