Makamu wa rais wa sudani ya kusini asema haya baada kujiunga na EAC.soma zaid.
a
# KIMATAIFA:Makamu wa Rais wa Sudan Kusini
Bwana RIEK MACHAR ameahidi kuwa nchi yake
itakuwa mstari wa mbele katika kukuza
ushirikiano na utangamano wa nchi wanachama
za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ametoa ahadi hiyo baada ya viongozi wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki kuridhia na
kuitangaza rasmi Sudan ya Kusini kuwa
mwananchama wa sita wa Jumuiya hiyo.chanzo itv.
0 comments :
Post a Comment