Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, March 3, 2016

Wamiliki wa vituo vya mafuta wasema elekezi inawaumiza kibiashara.soma zaid.

Baadhi ya wamiliki wa vituo vya mafuta
jijini Dar es Salaam wamesema idadi ya wateja
wanaohitaji mafuta imeongezeka ingawa bei
elekezi iliyotangazwa inawaumiza kibiashara.
Kauli yao imekuja siku moja baada ya Mamlaka
ya Usimamizi wa Maji, Nishati na Mafuta -
EWURA-kutangaza bei elekezi za mafuta.chanzo itv.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top