Breaking News
Loading...

Advert

Tuesday, March 22, 2016

Ujio wa mourinho manchester united wamubakisha David De Gea machester united .


---> KIPA namba moja wa Manchester United,
David De Gea anajiandaa kubaki Old Trafford
iwapo tu Kocha wa zamani wa Chelsea, Jose
Mourinho atachaguliwa kuwa kocha mkuu klabuni
hapo mwishoni mwa msimu huu.
De Gea alikaribia kuondoka Manchester United
kwenda Real Madrid mwishoni mwa msimu
uliopita, lakini dili hilo lilishindikana baada ya
kutokea kutoelewana baina ya klabu hizo mbili
siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha la
uhamisho.
Inadaiwa Madrid wanataka kumchukua De Gea
mwishoni mwa msimu huu, lakini chanzo kimoja
cha habari kutoka Hispania kinadai kuna
makubaliano maalumu kuwa De Gea hataondoka
kama Mourinho akichukua mikoba ya Luis van
Gaal.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top