Kama ulikuwa hujamfahamu meya mpya wa jiji la Dar na jinsi alivyopatikana.soma zaid.
Baada ya kuhairishwa kwa mara kadhaa
hatimaye jiji la Dar siku ya jana limeweza kupata
Meya, Diwani wa Kata ya Vijimbweni, Isaya
Mwita kwa mara ya kwanza katika historia
akitokea Upinzani alishinda kwa kura 84 dhidi ya
67. Amezungumza kwenye # PowerBreakFast ,
Boniface Jacob Mstahiki Meya Manispaa ya
Kinondoni naye anasikika kuzungumzia kipindi
chote ambacho hakukuwa na Meya mambo gani
yalishindikana kufanyika.
Pia Madiwani wa CCM wamesema ushindi huo
kwao ni somo na watakaa chini kutafakari.
Edward Lowassa, Waziri Mkuu mstaafu alikuwa
kwenye uchaguzi huo amezungumza jambo.
0 comments :
Post a Comment