Breaking News
Loading...

Advert

Thursday, March 3, 2016

Uteuzi wa kaimu mkuu wa NSSF watenguliwa.soma zaid.

Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,
Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye
Ulemavu, Jenister Mhagama ametengua
uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF ) Dkt.
Carina Wangwe uliotangazwa leo Dar es
salaam.
Taarifa iliyotolewa usiku huu imeeleza
kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana
na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu,
uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na
sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa
kwa wananchi.chanzo jamii forum.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top