Breaking News
Loading...

Advert

Friday, April 1, 2016

Afariki dunia baaa ya kufungiwa chumbani kwake siku tatu.

Kijana mmoja aliyejulika kwa jina moja la
Emmanuel Mkazi wa Mwananyamala kwa Kopa
amefariki dunia na kufungiwa ndani ya chumba
chake kwa muda wa siku tatu na mama yake
mzazi jambo ambalo limesababisha taharuki kwa
majirani pamoja wa wakazi wanaoishi eneo hilo.
Kijana huyo alidaiwa kupotea siku kadhaa
zilizopita na kuja kuoneka akiwa amefariki na
kufungiwa ndani ya Chumba chake tukio ambalo
pia limeshangaza baadhi ya viongozi wa serikali
ya Mtaa wa eneo hilo Huku Mama mzazi wa
kijana huyo akikaata kuwa mwanae amefariki.
Like.chanzo radio one.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top