Breaking News
Loading...

Advert

Wednesday, April 20, 2016

Donald Trump apeta kura za maoni New york.

Zaidi ya nusu ya kura zilizohesabiwa katika
uchaguzi wa awali wa urais nchini marekani
katika mji wa New york,zinaonesha kwamba
Donald Trump na Hillary Clinton wamepata
ushindi mkubwa Zaidi ndani ya vyama vyote
viwili.
Hillary Clinton ambaye amemshinda mpinzani
wake Bernie Sanders kwa ushindi mkubwa
ameeleza katika hotuba yake kuwa ushindi wa
chama chake cha Democratic umeweza
kuwaunganisha zaidi wapinzani wake kuwa
wamoja Zaidi ya kuwagawa.
Hata hivyo New York inatajwa kuwa ngome
nyingine ya Donald Trump,ambapo Cruz yeye
hesabu za kura zake zimeonekana kugoma
mapema kabisa katika chama chake cha
Repubilcan .
Wakati Hillary Clinton amemshinda mpinzani
wake Bernie Sanders kwa ushindi mkubwa
.Hillary amewaambia wapinzani wake kuwa kuna
la ziada linalowafanya wawe wamoja Zaidi ya
kuwagawa.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top