Breaking News
Loading...

Advert

Friday, April 22, 2016

Jipu la sumatra latumbuliwa morogoro

MGOMO DALADALA MORO: Mkuu wa mkoa wa
Morogoro, Dk Kebwe Steven Kebwe
amesimamisha kazi afisa mfawidhi wa Sumatra
mkoani humo, Rahimu Kondo kwa tuhuma za
kuwatoza madereva wa daladala faini kubwa.

0 comments :

Post a Comment

Back To Top