Katibu mkuu mpya CHADEMA akabidhiwa rasimi ofsi hii leo.
Katibu Mkuu CHADEMA,Dr. Vincent
Mashinji aripoti rasmi ofisini leo.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA), DR.Vincent Mashinji
ameripoti rasmi kwenye ofisi yake mpya jijini Dar
baada ya kuchaguliwa katika mkutano wa Baraza
Kuu CHADEMA, uliofanyika jijini Mwanza Machi
12 mwaka huu.
0 comments :
Post a Comment